Saturday, 15 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Je, hii ni kweli kwa wale wasichana wasiojibu meseji WhatsApp!!!?🤣🤣

Related image

Mwanaume mwenzangu ukiona unamtext msg msichana WhatsApp kaisoma hajajibu, umetuma ya pili kasoma hajajibu, ukatuma ya tatu hajajibu mmmmmh😨😨 hapo ujue mwenzio kaangalia kwenye profile yako, kakagua picha weee mwishoni akajisemea tu "Huyu.mkaka hapana kwa kweli"🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♂

😁😁😁😂😂😂

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4