Sunday, 16 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Huyu mke ni shida!😂😂😂😂😂😂

Related image

MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".👴😎😎😒
MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.👵😷
MUME: Akamuuliza kwa hamaki,"Sasa hapo unatafuta nini?".👴😡
MKE: "Sidiria yetu!!"👙💏
MUME: (kamfungia kabatini alafu kamwambia. "nipo chumbani , ")👴😷😷
💃💃💃💃💃💃
😂😂😂😂😂😂

😁😁😁😂😂😂

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4