Vichekesho

Angalia huyu mgonjwa 😂😂😂

Angalia huyu mgonjwa
Mngojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika.
Daktari: hilo tatizo lilianza lini?
Mngojwa:tatizo lipi?
😂😂😂😂😂😂😂
😁😁😁😂😂😂
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment