Mahusiano
Chunga! Usiwahi kujaribu kumuuliza mwanamke maswali haya
-Mwanawake ni kiumbe kisichoeleweka
-Kulingana na wanawake tulioongea nao, kuna maswali ambayo kwao huwa ya kuwachukiza.
Kama huamini basi jaribu kumuuliza mpenzi wako, dadako, rafiki yako wa kike au mwanamke yeyote unayemjua maswali haya. Majibu utakayopata yanaweza kukuliza.
Habari Nyingine: Mudavadi angempenda Wamalwa kuwa Gavana Nairobi? Soma maoni yake
1. Kwani uko katika hedhi?
Eti kwa sababu ana mbadiliko wa mara kwa mara hisia ama amenuna haimaanishi kuwa yuko katika hedhi.
Ikiwa unataka kupewa jicho la dharau, ama kuepukwa siku nzima kama mkoma, basi muulize mwanamke kama tabia yake inatokana na kuwa katika hedhi

2. Una miaka mingapi?
Umri ni jambo linazua hisia mseto kwa mwanamke kama vile kuzeeka kama bikizee. Kwa hivyo, swali la umri linakera sana.
Inawezekana hili ni mojawapo ya 'matusi' makubwa kwa mwanamke.
Kwa kifupi, utakuwa umemtukana kuhusu umbo la mwili wake, uzani wake na kumlinganisha na nyangumi na kwa hivyo kumfanya ajihisi kama asiye na maana.
Unapoona dalili za mimba bora ungoje hadi atakapokwambia mwenyewe.
Habari Nyingine: Niliponea, sikubakwa kwa kuwa nina sura mbaya- Mwanamke

Swali hili linaloweza kueleweka kwa njia tofauti- Kukosa adabu, kutoa hukumu na kadhalika.
Labda anataka sana kutunga mimba, anangojea wakati wa sawa, alipoteza mimba au hana uwezo wa kupata mtoto
Vizuri! Hili ni swali la kawaida sana.
Kufikia umri fulani, mwanamke anatarajiwa kuwa amejituliza kwake akilea watoto
Ikiwa mwanamke hana mpango wa kuufuata mkondo huu, basi tarajia jibu utakalokumbuka hadi uende kaburini.
Ni vizuri kujua kuwa lazima kuwe na sababu ya kibinafsi ya kutoolewa ikizingatiwa kuwa si wanawake wengi wanaopenda kukaa bila waume. Wacha kujishughulisha na mambo yasiyokuhusu!

Ni mwajiri tu anayeruhusiwa kuuliza swali hili ama mpenzi wa karibu.
Hata wazazi na ndugu mliozaliwa nao hawaruhusiwi kujua mambo ya siri ya mshahara wako. Uamuzi wa kutoa habari hizi huwa wa kibinafsi.
Utakuwa umeepuka matusi ikiwa utaepuka maswali haya
Previous article
Leave Comments
Post a Comment