Monday, 17 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Husisimuliwa zaidi na Hufurahia sana



Wanawake wengi huhitaji kusisimuliwa kis..mi ili kufika kileleni.
Zaidi ya asilimia 60 ya wanawake lazima wasisimuliwe kisimi ili kuweza kufika kileleni.
Ukweli ni kwamba kuamini kwamba mwanamke anaweza kufika kileleni kwa uume kuwa kwenye uke  ni sawa na kuamini kwamba mwanaume anaweza kufika kileleni kwa kuchezea testicles (tafsiri mwenyewe kwa Kiswahili)
Haina haja kuachana na uwezo wa anatomy ya mwili.

Ukweli ni kwamba kis..mi ni sensitive sawa na kichwa cha uume  na mara kwa mara kis..mi hakiwezi kusisimuliwa tu wakati uume upo kwenye uke.

Hata hivyo jambo la msingi ni kwamba si sahihi kwamba mwanaume anayewahi moja kwa moja kwenda kwenye kis..mi na kuanza kazi ataweza kumfikisha mke wake haraka kileleni kwani wanawake huja kwa kila aina ya shapes na sizes kimwili, kihisia hivyo njia sahihi ya kumpatia ni kumuuliza nini anapenda afanyiwe na kis..mi chake.

Ni wanawake wachache sana watakubali na kujisikia raha kuchezewa kis..mi kabla hawajasisimka sehemu zingine za mwili na anaweza kukwazwa au kuwa turned off.
Kama uume, kis..mi hujawa na damu na kudinda baada ya kusisimka hivyo kumgusa kis..mi kabla hajasisimka huwa haifurahishi na wakati mwingine huumiza.

Wanawake hupishana sana namna kis..mi kinatakiwa kichezewa (stimulated) na pia kitu kikubwa ni kwamba hata aina ya stimulation inayotakiwa hutofautiana kwa namna tofauti kwa tendo moja la ndoa.

Itakuwa msaada mkubwa na furaha au raha kama mke atakuwa anawasiliana na mume wake nini anahitaji huku kufanyiwa kwenye kis..mi chake huku wakiendelea na furaha yao ya tendo la ndoa.

Je ni pressure kiasi gani, haraka au polepole kiasi gani anahitaji movement kuwa kwa alama au maneno kila wanandoa wana codes zao za chumbani au kitandani.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4