Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Matiti Yanawachanganya sana wanaume!



Ingawa matiti ni kwa ajili ya chakula cha mtoto mchanga, baba ndiye hujikuta mara zote anaishia kuchezea kama mali zake na pia wapo wanawake wengi sasa ambao hawataki kunyonyesha kabisa watoto ili kulinda matiti yao yabaki umbo lilelile ambalo wanaume wanatawafurahia virtually.


Titi ni jug la asili la maziwa ya motto ingawa huja katika size na shape tofauti na huvalishwa bra kwa design tofauti kwa gharama toauti kutokana na hadhi ya mwanamke wakati sehemu zingine duniani mwanamke hutembea kufua wazi bila tatizo.
Matiti yamekuwa yakipewa heshima (kuabudiwa na kushabikiwa) tangu enzi za zamani hata hivyo attention ambayo matiti yanapewa leo hii (information society) inashangaza na imefika mahali wanawake (hasa mabinti) wanatumia pesa nyingi ili kufanyia upasuaji kuwa na umbo ambalo wanaume wengi husherehekea wakiyaona.


Matiti yamepewa majina mbalimbali na jamii tofauti kama vile Nido, Mtindi, Jugs, Apples, Balloons, Bean bags, Boobies, Boobs, Bullets, Glands, grapefruits, quaver, hand-warmer, Hills, Headers, Lulus, Mams, Mangoes, Meatballs, Meat loaves, Melons, Milk cans, Milk shop, Mountains, Nature’s fonts, Ninnies, Nuts, Oranges, pair. Papaya, pears, Pillows, Pumpkins, Rib cushions, Sandbags, Sphere, shakers, Upper deck, Warheads, Watermelons, Yams na mengine mengi unayojua wewe.

Swali bado ni kwa nini wanaume huchanganywa sana na matiti?
Kwanza matiti huwafanya wanaume kujisikia utulivu, kuburudika, kuliwazwa, kulegezwa, kustarehe, kupoa, kupozwa, kupumzishwa na kujisikia shwari  kutokana na ulimwengu chepe, korofi, unaokwaruza na rafu, hivyo kwa matiti kuwa soft; yanayokarirbisha na hayatishi, mwanaume hujisikia yupo salama (Naongelea mke na mume hahahaha!)


Kwani tangu mwanaume akiwa mtoto, ikitokea kuna hatari au kitu chochote ambacho kinamtisha na hata kuanza kulia, alikimbia kifuani kwa mama yake kunyonya titi na kunyamaza hivyo kulindwa na kile kinachomuumiza au kukutana na ubaya wowote.

Pili matiti ni alama (symbol) ya uzazi kwa mwanamke hivyo matiti hutoa dalili kwamba huyu mwanamke anauwezo wa kuzaa na kuendeleza kizazi, kwani huwezi kukutana na msichana ambaye hajabalehe na ana NIDO za uhakika bali akishabalehe huwa na matiti ya uhakikika kuonesha yupo tayari kuzaa au kuwa na uzazi (not all the time).

Kutokana na maelezo ya Charles Darwin (Natural Selection) mwanaume hujikuta anatumia kigezo cha matiti kuchagua partner ambaye ana matiti umbo fulani bila yeye kujua, kumbe ni kuchagua partner mwenye afya na mwenye uwezo wa kuzaa.
Kutokana na maelezo ya bwana Darwn, wanaume hutiwa na kuchanganyikiwa kabisa na matiti sharp kwani ni dalili kwamba huyo mwanamke anauwezo wa kuendeleza species yao.


Tatu matiti ni ufunguo (key) kwa mwanamke kusisimka kimapenzi.
Muulize mwanaume yeyote ambaye ni mzuri kimapenzi (good lover) atakwambia kwamba matiti yana direct connection na msingi wa mwanamke kusisimka kimapenzi , hivyo mwanaume anapenda matiti na anachanganyikiwa nayo kwa sababu yanaweza kumsisimua mke wake vizuri na kuwa tayari kuwa mwili mmoja.


Kwa hiyo moja ya Home Entertainment Center ya mwanaume ni matiti ya mkewe so mwanamke anayejua siri huhakikisha mume anaitumia hiyo hardware.
Nne matiti husisimua wanaume visually kwani wanaume husisimka kwa kile wanaona, matiti yaliyosimama  husisimua zaidi na kutoa attention kubwa kwa mwanaume, ukiacha genitals, pia matiti ni moja ya physical feature ambayo inamtambulisha mwanamke na kumvutia mwanaume.

Tano, mwanaume huchanganyikiwa na matiti kwa sababu ya msukumo wa jamii.
Kwani ni binadamu peke yao (katika wanyama wote) ambaye hutumia matiti  ili kusisimuana kimapenzi.
Magazeti, Televisions, mamodel, Catalogs, matangazo ya biashara, fashions, movies, films yote ni source ya kutangaza uzuri wa mwanamke na matiti 24/7 katika siku 365 za mwaka, mwanaume anayekutana macho kwa macho ya vyote hivi kwa nini asichanganyiwe akiona kifua cha mwanamke ndiyo maana mara nyingi wanaume wanapoongea na mwanamke huangalia kifuani badala ya usoni kwa mwanamke!
Swali la kujiuliza hivi ingekuwaje kama matiti yangekuwa hayafunikwi?
Kama masikio au pua au shingo au lips yangepata attention kama yanavyofichwa?

Binadamu ana sifa moja kubwa ya kutaka kupata kile kimefichwa;
je hii inaweza kuwa proved?
Na je, ni kweli wanaume wanastahili kulaumiwa kwa kuwa attracted na matiti ya mwanamke yeyote?
Je, matiti ni sifa muhimu kwa mwanaume kuzingatia wakati wa kuoa hasa kutokana na msukumo wa jamii, saikolojia na mvuto kimwili ili aoe mke ambaye matiti yake yatamfanya mwanaume ayasherehekee na kuyafurahia?

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4