Sunday, 16 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Usimuogope Mwambie Mwenzio

Kuongea suala la tendo la ndoa katika ndoa au kwa mume wako au kwa mke wako ni moja ya topic ngumu sana chini ya jua au katika uso wa dunia.
Kama utakuwa na maongezi au mawasiliano kuhusiana na suala la Tendo 
katika ndoa yako maana yake mtakuwa wazuri katika hiyo department.
   
Image result for picha za utupu za wadada africa

Wanandoa wengi ambao wamekuwa na tabia ya kuongea kuhusu maisha yao ya Tendo la ndoa kwa uhuru na ukweli wamekuwa na maisha mazuri chumbani kwao kwani si rahisi kufahamu mwenzako anahitaji kitu gani hadi umwambie.
Kuwa wakimya kuhusiana na kuongea kuhusu Tendo na mke wako au mume wako husaidia kuwa wajinga zaidi na wakati mwingine kutoridhishana sawa na uhitaji wa mwili wako au feelings zako.



Hatari kubwa zaidi ni pale wanandoa wanaposhindwa kuongea wenyewe na matokeo yake kutoridhika na kutoridhika ndiko husaidia kukwetua njia ya mmoja au wote kuanza kuangalia nje (kuchepuka)
Firikia wewe ni mwanamke una vitu mume wako akifanya basi huwa unajisikia kusisimka na mwili kuanza kutoa kuwa juicy na kutamani sana Tendo na mume wako.
Kwa nini usiwe huru ukamwambia kwamba unapenda iwe hivi:

Mueleze:-

WAKATI NIMESISIMKA
Natamani mume wangu uwe na wewe unatoa sauti au na wewe uwe unaongea,

Napenda uwe unaongea maneno matamu ya kimapenzi,

Napenda mume wangu uniambie nini unakipenda kwenye mwili wangu,

Napenda unigunise na kunichezea namna hii (onesha),

Napenda ufanye hivi kwenye maziwa yangu,

Napenda unitazame usoni,
    

Napenda unichezee kis..mi namna hii (mwambie unapenda afanye kwa kutumia nini na namna gani)

Napenda ufanye hivi kwenye Gi sipoti,

Napenda kuchezea Mashine yako hivi nk

WAKATI WA TENDO
Napenda na wewe uwe unaguna na kutoa sauti za kimahaba au uongee maneno matamu na elezea namna unafurahia au unajisikia kuwa ndani yangu,

Napenda uendelee kunibusu namna hii,

Endelea kunisisimua  namna hii (eleza kwa kutumia nini)

Natamani tunapoanza tuanze kwa mlalo huu na baadae tumalize kwa mlalo  hii,

Natamani uanze kwa kasi au msuguano wa polepole na baadae haraka zaidi namna hii,

Nioneshe kama na wewe unafurahia,
Nk

UNAPOFIKA KILELENI
Napenda upunguze kasi na kuniacha au napenda uongeze kasi unapoona nakaribia kufika kileleni,

Napenda unikumbatie na kunibusu nk

BAADA YA KUMALIZA TENDO
Napenda sana uendelee kubaki ndani yangu hadi tulale usingizi nk,

Napenda unikumbatie huku tunalala,

Napenda angalau mkono wako au mikono yako ibaki mwili mwangu huku tunalala,

Natamani tuendelee kupiga story,

Natamani uendelee kunibusu.



Kumbuka huu ni mwongozo tu kwani kila mwanamke ana mahitaji yake kutoka kwa mume wake jambo la msingi ni kwamba jisikie huru kuongea na mume wako nini unahitaji kabla, wakati na baada ya Tendo.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4