Sunday, 16 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Watoto wa Mjini Wamchezeshea Kichapo TID, Mwenyewe Adai ni Majambazi

Mwimbaji mkongwe wa Bongo Fleva Top In Dar (TID) ameweka picha kwenye ukurasa wake wa instagram akionekana amepigwa na watu ambao amewataja kuwa ni wezi huku akidai kuwa  watu hao wanaweza fanya chochote sababu huwa wana mipango mbadala.


“Washamba Bwana Wakiona tu Unasikika wanaamua kukupiga hivi …. It’s so Sad Jambazi anaeza kukufanyia chochote sababu yeye Jambazi na Yuko na Back Up za Kijambazi #RevengeoftheNinja“ aliandika TID

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4