Ads Right Header

Buy template blogger

Davido na Wizkid Kuja na Kazi Mpya

Davido na Wizkid Kuja na Kazi Mpya
Mastaa kutoka Nigeria, Davido na Wizkid wamethibitisha ujio wa kazi yao mpya kupitia kurasa zao rasmi za mtandao wa Instagram.

Ujumbe alioanza kupost Davido kwenye Insta story yake ulisomeka hivi, ”My brother Wizkid  make we finish dem”. Wizkid nae alichukua ile post ya Davido na kuipost kwake huku akiandika 'One time my G'.

Kupitia jumbe hizo za kwenye Insta story zao, zinaonyesha kuna Project inaendelea kati ya hawa watu wawili licha ya hapo nyuma kusemekana wana bifu ingawa walilimaliza kwa kualikana kwenye sho zao.
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4