Vichekesho

Wanawake wavumilivu jamani

KUNA WANAWAKE WAVUMILIVU HUKU DUNIANI MFANO HAKUNA….
UTAKUTA YUPO NA MWANAUME ANANUKA MDOMO MASIGARA VIROBA GOMBA MIXER MIGUU UTAZANI MZOGA WA FISI… LAKINI BADO UNAKUJA UNA MDANDIA MTOTO WA WATU NA ANA KUVUMILIA
WANAWAKE KAMA HAWA POPOTE MLIPO AGIZENI SODA NITALIPA MIM.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Leave Comments
Post a Comment