Sunday, 16 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Mbosso "Nina MBEGU za Kutosha Hata Wewe Ukitaka Njoo Nikuzalishe"

Mbosso awajibu wote wanaosema anazaa hovyo hovyo kila mtoto na mama yake..

Amefunguka vikali... "Mimi wala sizai bali nazalisha na nina mbegu za kutosha tena zenye rutuba ndio maana nawazalisha, kwahiyo hata wewe ukitaka mtoto njoo nikuzalishe acha wivu" Mbosso #KhanBoy #Mwamba...

Pichani Mbosso(28) na watoto wake ambao wamezaliwa mwezi mmoja na mama tofauti mama mmoja akiwa Mtanzania na mwingine akiwa Mkenya.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4