Mahusiano
Udaku
“Sijarudiana na Bilnass labda watu hawakutegemea kuona kazi yetu” .
Nandy atolea ufafanuzi juu ya ukaribu wake na Billnas “Mimi na Billnass hatujarudiana labda watu hawakutegemea kuona tunatoa kazi hivi karibuni, na labda video ilichangia lakini hatuna mahusiano na hata wakati tunarekodi video ya Bugana mpenzi wake alikuwepo location” Nandy XXL
Nandy Amkana Billnass Mchana KWEUPE....'Mpenzi wa Billnass Yupo'
“Sijarudiana na Bilnass labda watu hawakutegemea kuona kazi yetu” .
Loading...
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment