Saturday, 15 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Mwizi kawezwa ki kwelii 😂😂 😂 😂😂

Related image
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? sipendagi ujinga🚶🏻 na kitu hela mm!


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  Install Application ya Raha Za Wakubwa tu Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4