Ads Right Header

Buy template blogger

Huyu Hapa Mwanaume Handsome zaidi Duniani…Aliyefukuzwa Nchini Kwake Sababu ya Uhandsome Wake

Fahamu: Omar Borkan(30) mwanamitindo pia muigizaji wa nchini Iraq ndie anadaiwa kuwa mwanaume handsome zaidi duniani. Aliukwaa umaarufu mwaka 2013 baada ya kuripotiwa kufukuzwa nchini Saudi Arabia kwa kinachoelezwa ni sababu ya jamaa kuwa handsome wa kutupwa

Wewe unamuonaje ni kweli uhendisamu wake umevuka mipaka au?

Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4