NINANI MWENYE MAMLAKA YA KUTAMKA NDOA KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME?
Lakini ukiona Uko kwenye MAHUSIANO na Mwanaume takribani miezi 6 na Mtu huyo haongelei kama yupo kwenye mpango wa kukuoa HESABU ULIKUWA KWENYE STAREHE na badilisha mwelekeo mapema, Kama umefurahishwa na starehe SHIKAMANA Kwani ndo maisha dadaangu ila kama mtazamo wako Ulikuwa UMEPATA MUME hapo hesabu hasaraš
Waswahili wanasema YAJAYO YANAFURAHISHA basi mwaga manyanga endelea na safari nina hakika huko mbele yupo ambaye ameandikwa kwa kiwango hicho cha HESHIMA YA MUMEšŖš½
Muda ni Mali hebu tunza Muda uone vile MUDA UNAVYOTUNZA FURAHAšš»āā
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment