Ads Right Header

Buy template blogger

HAWA HAPA LICHA YA KUPEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA WANACHEKA NA NYAVU PIA

HAWA HAPA LICHA YA KUPEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA WANACHEKA NA NYAVU PIA

NDANI ya Ligi Kuu Bara ni manahodha wawili wazawa wenye mabao zaidi ya 10 kwa msimu wa 2019/20.

Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vimekuwa ni janga la dunia.

Miongoni mwa nahodha hao ni pamoja na Paul Nonga anayekipiga Lipuli ametupia mabao 11 na pasi nne za mabao.


Mwingine anayevaa kitambaa cha unahodha na ametupia mabao zaidi ya 10 ni Relliants Lusajo anayekipiga Namungo ametupia mabao 11 na pasi tatu za mabao.


Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4