Ads Right Header

Buy template blogger

Kama Haupo katika mahusiano huu uzi ni kwa ajili yako!






 bwana katika maisha kuna kipindi inatokea haupo katika mahusiano kwa sababu kadha wa kadha either kwa kukosa mwenza sahihi, kukataliwa(Inatokea).. au kuona mahusiano haya Nafasi kwa wakati husika kwako!
Kwa Mfano mimi sipo katika mahusiano kwa sababu kwa kipindi kirefu sijavutiwa na mwanamke! Je wewe ni kwanini haupo katika Mahusiano??
Pamoja na Kwamba hatuwi katika mahusiano kuna changamoto lazima tunakutana nazo kwa mfano wale jamaa wa nyegezi wanazidi unashindwa ukawapunguze wapi!
Je unakutana na Changamoto gani kwa kuwa Single?


  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4