LICHA YA KUWA NI NAHODHA HUYU NI MTAMBO WA KUTUPIA PIA NDANI YA KLABU YA SAHARE
KASSIM Shabani Haruna ni nahodha wa Sahare All Star FC inayoshiriki Ligi Daraa la Kwanza ametupia mabao manne na kutoa pasi nne akiwa amecheza mechi 12.
Timu yao ipo nafasi ya 11 ikiwa ipo kundi B kibindoni ina pointi 19 baada ya kucheza mechi 18.
Kinara wa kundi lao ni Gwambina FC iliyocheza mechi 18 kibindoni ina pointi 40.
Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment