MANE AINGIA ANGA ZA MADRID
SADIO Mane mshambuliaji wa Liverpool inaelezwa kuwa yupo Kwenye hesabu za Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinadine Zidane ambaye anataka kupata huduma yake.
Mane amekuwa kwenye ubora ndani ya Liverpool ambapo ametupia mabao 14 na kutoa pasi saba za mabao msimu huu jambo ambalo limemfanya Kocha wa Madrid kuhitaji huduma yake.
Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa mpango mkubwa wa kuiboresha timu yake iwapo Mane ataondoka atahitaji huduma ya Mbappe wa PSG.

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment