MWANAMKE USIWE KIJUSO MPAUKO MWANAMKE KUDAMSHI NG"ARI NG'ARI
mwanamke ukiamka fanya usafi ukimaliza usafi koga jipure upenďeze.jikague nywele zako ziko vzr,sio minywele timu timu kama sadiki chizi looooh. nywele zimekosa huduma nyeusi si nyeusi nyeupe si nyeupe njano si njano yaani vuruvuru khaa. we unakustiri mtandio tu yaani mpaka chumban unajishtukia mbele ya mumeo.
sura bibi mwanamke kisura sio kutwa uso unakua kijuso uso hauvutii mpaka wende harusini mmmhhhhh labda huyo mume awe na roho ngumu kama paka ndo atakuvumilia.
mke uso ndo kivutio cha kwanza kwa mume muwapo chumbani lkn mke sura imekakamaa kama chapati ilomkosaji mpikaji. jmn chonde wanaume wanamioyo vizuri wanavijua na vichafu pia wanavijua.
mwanamke viwalo sio kutwa na kidera kimoja tena wengine mpaka vinawapaukia mwilini yaani kila kukichelewa kidera kiko mwilini kama ngozi ya mwili vile aaaahhh yaani kuvaa nguo mzuri mpaka usafiri au wende kwenye sherehe. bibi badilika mwanamke ni kivutio kwa mume. pendeza ili umshawishi mumeo akutamani mpaka denda limtoke alafu umpoze kama kiu kwa maji baridi. usipopendeza kwa mumeo utapendeza kwa nan?
CHANDA CHEMA UVIKWA PETE NA NAZI IKIJAKULIWA NA MWEZI USIJE GOMBANA NA MKWEZI
.
NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article

Leave Comments
Post a Comment