Ads Right Header

Buy template blogger

TUJIKINGE,TUJILINDE NA TUWALNDE WENGINE DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UGONJWA CORONA (COVID-19).

TUJIKINGE,TUJILINDE NA TUWALNDE WENGINE DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UGONJWA CORONA (COVID-19).
Wakati serikali ikihamasisha suala la usafi hasa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni sambamba na uvaaji wa Barakoa (Mask),Lakini bado baadhi ya wananchi  hawalichukulii kwa uzito suala hilo ili kupambana na maambuzi ya ugonjwa wa Corona unaosababishwa na virusi vya COVID 19. Pichani ni waendesha pikipiki almaarufu Bodaboda wakiosha pikipiki zao katika dimbwi la maji lililopo Mtaa wa Majengo - Mbezi kwa Msuguli,hali ambayo inanahatarisha usalama wa afya zao na Wengine. Picha na Cathbert Kajuna -Michuzi TV.

Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4