Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

KLOPP WA LIVERPOOL ALIWAHIKUINOA TIMU ALIYOCHEZA ZAMA ZAKE

KLOPP WA LIVERPOOL ALIWAHIKUINOA TIMU ALIYOCHEZA ZAMA ZAKE

Jurgen Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool aliibukia ndani ya kosi hilo msimu wa wa 2015 akitokea Klabu ya Borussia Dortmund.

Alidumu ndani ya Dortmund kutoka msimu wa 2008-2015 ambapo aliibukia kwenye timu hiyo akitoka ndani ya timu ambayo aliwahi kucheza zama zake akiwa mchezaji.


Alicheza ndani ya Klabu ya Mainz 05 msimu wa 1990-2001 na alicheza jumla ya mechi 325 nafasi yake ni mshambuliaji na beki pia anaweza kucheza na alifunga jumla ya mabao 52.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4