LIGI KUU KUCHEZWA KWA VITUO, ISHU YA MASHABIKI IPO NAMNA HII

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa mfumo wa Uchezaji wa Ligi katika Mpira wa Miguu ni kuwa Ligi kuu itachezwa katika Mkoa mmoja ambao ni Dar es Salaam hivyo timu zote zitacheza mkoani Dar.
Huku Ligi Daraja lA kwanza na Ligi Daraja lA Pili kituo kitakuwa ni Mwanza hivyo timu zote zinatatakiwa kwenda Mwanza.
Michezo yote Itachezwa bila Mashabiki ila kikundi cha Mashabiki wasio zidi 20 wanaruhusiwa.

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment