LUKAKU NI YEYE NA NYAVU TU HUKO INTER MILAN
ROMELO Lukaku amekuwa kwenye moto mkali wa kucheka na nyavu baada ya kuibukia Inter Milan kutoka ndani ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England.
Ndani ya Inter Milan inayoshiriki Serie A Lukaku ambaye ni mshambuliaji ametupia mabao 17.
Timu yake ipo nafasi ya tatu baada ya kucheza mechi 25 kibindoni ina pointi 54.
Next article
Leave Comments
Post a Comment