Monday, 17 March

Ads Right Header

Buy template blogger

MTAZAMO WA SALEH JEMBE KUHUSU SIMBA NA YANGA

MTAZAMO WA SALEH JEMBE KUHUSU SIMBA NA YANGA

IMANI kubwa ya Saleh Jembe kuhusu timu kubwa za soka Bongo ambazo zinafuatiliwa kwa ukaribu ambazo ni Simba na Yanga sio maadui bali ni upinzani wa kawaida ambao unaendelea kila siku.

Jembe ameyasema hayo leo, Mei 5, ndani ya studio za E Fm kwenye kipindi cha michezo.

Jembe amesema:"Simba na Yanga ni miongoni mwa timu zenye mashabiki wengi na zinafuatiliwa kwa ukaribu lakini hakuna uadui katika timu hizi.

"Simba na Yanga zote zinatokea Tanzania na zinajenga mpira wa Tanzania pamoja na kukuza nchi ya Tanzania bila kujali wewe ni shabiki wa timu gani,".

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4