Muwakilishi wa Watanzania waishio Marekani wafanya ziara ya gereza la isanga Dodoma
Alhaj Issihaka Kibodya muwakilishi wa Watanzania waishio marekani na ustadh Sefu Jongo toka Masjid Noor barabara ya 9 hapa Dodoma walifanya juhudi ya kuwasiliana na gereza la Isanga hapa Dodoma na kupata mahitaji ya wafungwa wa kiislaam na taratibu ya kupeleka dawa, vifaa tiba, sabuni na dawa za mswaki.

Tuendelee kujitolea na kuwakumbuka ndugu zetu wasiojiweza na wafungwa.
taarifa hii imetolewa na kitengo cha mawasiliano Masjid Noor barabara ya 9 Dodoma
Previous article
Leave Comments
Post a Comment