Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

PJANIC, NYOTA JUVENTUS AGOMEA DILI LA KUIBUKIA MANCHESTER UNITED

PJANIC, NYOTA JUVENTUS AGOMEA DILI LA KUIBUKIA MANCHESTER UNITED
MIRALEM Pjanic,  nyota anayekipiga ndani ya Juventus
amegomea dili la kujiunga na Manchester United pamoja na lile la kuibukia ndani ya PSG.

Licha ya habari kueleza kuwa ana mpango wa kusepa ndani ya Juventus kutokana na kukosa nafasi ndani ya kikosi hicho amegoma ukitaja atakapokuwa.

Awali ilielezwa kuwa anaweza kujiunga na Manchester United kwa kuwa aliwahi kunukuliwa akisema kuwa anahitaji kucheza Ligi Kuu ya  England
Pjanic amefanikiwa kucheza mechi 167 amejiunga na Klabu ya Juventus 2016 ametwaa mataji sita makubwa, taarifa zinaeleza kuwa anataka kwenda Barcelona.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4