Friday, 21 March

Ads Right Header

Buy template blogger

ARSENAL YAMTEMBEZEA CHARTOLN 6-0

ARSENAL YAMTEMBEZEA CHARTOLN 6-0
CHARTOLN imechapwa mabao 6-0 na Arsenal kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa jana Uwanja wa Fly Emirates. 

Arsenal iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta inaendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka fiti kuendelea na masuala ya Ligi Kuu England inayotarajiwa kuendelea Juni 17.

Mabao ya Arsenal yalipachikwa kimiani na Alex Lacazette,  Pierre Emerick Aubameyang, Eddien Ketiah alitupia matatu na Joe Willock.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4