Ads Right Header

Buy template blogger

AZAM FC YAKWEA PIPA KUWAFUATA KAGERA SUGAR

AZAM FC YAKWEA PIPA KUWAFUATA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Azam FC leo kimwekwea pipa kuelekea Bukoba kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa kesho Uwanja wa Kaitaba,kesho Juni 24.

Azam FC iliyo chini ya Aristica Cioaba,inashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kulazimisha sare ya bila kufungana na Yanga Uwanja wa Taifa.

Kagera Sugar itashuka uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC Uwanja wa Majaliwa.

Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4