Ads Right Header

Buy template blogger

BERNARD MORRISON ATAJA SABABU YA KUIKOSA MWADUI FC, SASA KUIBUKIA HUKU

BERNARD MORRISON ATAJA SABABU YA KUIKOSA MWADUI FC, SASA KUIBUKIA HUKU
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ataungana na kikosi Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania.

Morrison aliukosa mchezo wa jana dhidi ya Mwadui FC uliochezwa Uwanja wa Kambarage.

Mchezo huo Yanga ilishinda bao 1-0 lililofugwa na Balama Mapinduzi dakika ya sita.

"Sikuweza kujiunga na kikosi Shinyanga kwa kuwa nilikuwa bado nina maumivu kwenye mguu hivyo niliona ni bora nitulie kwanza maumivu yatulie,".

Juni 17, Yanga itashuka Uwanja wa Jamhuri kumenyana na JKT Tanzania.
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4