BREAKING: RATIBA YA LIGI KUU BARA, NI YANGA V MWADUI, VIPORO
ILE burudani ya soka inatarajiwa kuanza kutimua vumbi, Juni 13, ambapo mechi za ufunguzi zitakuwa ni viporo vilivyobaki kabla ya janga la Virusi vya Corona.
Hizi hapa zitaanza Juni 13 Mwadui FC V Yanga, Uwanja wa Kambarage.
Leave Comments
Post a Comment