Sunday, 16 March

Ads Right Header

Buy template blogger

BUKU TANO TU KUMUONA HARUNA NIYONZIMA

BUKU TANO TU KUMUONA HARUNA NIYONZIMA

JUNI 21, Yanga itakuwa na kazi ya kumenyana na Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 10:00.

Yanga itaingia mchezoni ikiwa na kumbukumbu ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na JKT Tanzania Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Kwa shabiki atakayehitaji kuyaona makeke ya Haruna Niyonzima akipambana na Sure boy, Jaffary Mohamed akipambana na Nicolas Wadada, Juma Abdul akipambana na Idd Seleman uwanja wa Taifa buku tano inatosha kumpa nafasi ya kuzama ndani.

 Kwa upande mwingine  VIP A - 15,000, VIP B&C - 10,000

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4