Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

ESMA PLATINUM:BABU TALE HANA TENA DIRA KISA SHAMMY

ESMA PLATINUM:BABU TALE HANA TENA DIRA KISA SHAMMY
           Na Khadija seif, Michuzi tv
   MIONGONI waliohudhuria msiba wa shammy ambae alikua mke wa Meneja wa Diamond platinum Babu tale  ni dada yake  esmaplatnum asema marehemu analikua dira yake,ubavu wake.

Akizungumza na Michuzi tv Esma ameeleza jinsi meneja huyo alivyoshibana na mkewe kiasi kwamba hata maarifa ya kuendesha kundi la wasafi (WCB) mawazo mengi alikua anatoa kwa mkewe.

"Meneja alikua na mke ambae kila mwanaume angetamani awe nae kwani alikua Mwanamke mchapakazi,hodari pia alikua anajua kumpa ushauri mumewe tale jinsi ya kumueka sawa msanii wake ambae ni mdogo wangu Diamond platinum."

Hata hivyo Esmaplatnum amesema kundi la wasafi (WCB) ni wakati wakumfariji meneja Tale kwa kipindi hiki cha kumpoteza mkewe na kuungana kwa pamoja kumsindikiza kwenye Safari yake ya mwisho.

"Kama alikua anatukimbilia kwenye shida zetu na kumtengeneza Diamond platinum hadi amefika alipo basi sio mbaya na sisi kuonyesha ubinadamu wetu kukaa karibu na babu tale kwa kipindi hiki ukizingatia ana watoto wamebaki wapweke na familia kwa ujumla."

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4