JESHI LA YANGA LITAKALOVAANA NA AZAM FC LICHEKI KWANZA
JESHI LA YANGA LITAKALOVAANA NA AZAM FC LICHEKI KWANZA
UWANJA wa Taifa leo kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati ya Yanga FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael na Azam FC iliyo chini ya kocha Mkuu, Aristica Cioaba.
Kwa mujibu wa gazeti la michezo la Spoti Xtra limetabiri kikosi cha leo cha Yanga kitakuwa namna hii:-
Metacha Mnata
Juma Abdul
Kelvin Yondani,
Jaffary Mohamed
Juma Makapu
Feisal Salum
Balama Mapinduzi
Deus Kaseke
Ditram Nchimbi
Haruna Niyonzima
Bernard Morrison.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment