Friday, 21 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Kenya waandamana kupinga mauaji ya George Floyd



Kutoka Kenya yamefanyika maandamano katika Ubalozi wa Marekani jana jumanne, Watu wakipaza sauti kupinga mauaji ya George Floyd aliyefariki akiwa mikononi mwa Polisi Marekani.

"Floyd alifariki akiwa mikononi mwa Polisi wenu, maisha ya Watu weusi yana thamani Marekani na Afrika kwa ujumla, tumeandamana kuonesha hatukubaliani na kilichofanywa"

  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4