KUMBUKUMBU
KUMBUKUMBU
EMMANUEL LAWRENCE MUSHI 07/12/73 - 22/06/2015 |
Leo Tarehe 22/06/2020 Umetimiza Miaka Mitano tangu Umefariki Huko Houston-TX,USA.
Sisi Ndugu zako Umetuachia Huzuni na Pengo Ambalo Halitazibika Milele,Unakumbukwa Sana na Watoto Zako, Luis(Anwar) na Jermaine.
Unakumbukwa na Baba yako Mzazi Mzee Lawrence Mushi(Kimbori),Pia Unakumbukwa na Wadogo Zako Rudolf(Dofu), Gaudence, Fulgence , Renatus(Kulwa),Claudia, Martha(Dotto/Manka)na Mary(Mkakeni).
Unakumbukwa na Ukoo Wote wa Kimbori na Massawe.Unakumbukwa na Ndugu,Jamaa na Marafiki zako Wote Pamoja na Wanajumuiya wa Tanzania Houston Community(THC)Houston-TX,USA.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa
na Jina Lake Lihimidiwe.
AMINA
AMINA
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment