MELI YA MV VICTORIA-HAPA KAZI TU YAANZA SAFARI YAKE MAJARIBIO
Meli ya MV VICTORIA iliyokuwa ikifanyiwa ukarabati leo tarehe 28 June, 2020 ikiwa imeanza majaribio baada ya zaidi ya miaka 5 ya kuharibika. Safari ya kwanza ya majaribio kuelekea Bukoba yamefanyika jijini Mwanza.
Leave Comments
Post a Comment