Mo Dewji atoa neno kwa wanasimba
"Wanasimba wenzangu nataka niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakayeondoka SIMBA SC Pia tutasajili mchezaji yoyote, kutoka popote kama Mwl. wetu atamuhitaji kwenye kikosi chake, tutashuka kwa kishindo, hatuna maneno mengi lakini tupo" MO Dewji
NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment