MWANAUME ANGEMPENDA MWANAMKE KWA MOYO 💖 WAKE WALA ASINGEACHA KURIDHIKA NA MWANAMKE MMOJA
Mwanaume ni sawa na mgonjwa wa kisukari 😂😂😂
Yaani ni kweli AMEOA👩❤️👨 ila kuacha kupata hamu kwa Mwanamke mzuri zaidi ya mkewe ni kama DHAMBI🤦♂️
Ndo maana nikamlinganisha Mwanaume na mgonjwa wa kisukari, ni kweli ametakiwa kuacha vitu vitamu ila akiona FANTA anameza mate 😋
Tatizo sio UZURI WA MWANAMKE tatizo kubwa linawapata wanaume ni KUTOMKUBARI MWANAMKE ALIYE NAYE na kuamini katika FARASI🦄 UKIMPANDA HAKUTISHI MIONDOKO wakati huo huo MWANAMKE aliyemfanya amdharau aliye nae kuna Mwanaume kamkinai hapo ndipo utanielewa TATIZO LA WANAUME SIO UZURI WA MWANAMKE Tatizo lao kuu KIU😂😂
Muda wote wanatamani kuonja kila KISIMA bila hata kujua wataleta MADHARA gani kwa aliyepo🤔
Visima vingine ukionja maji yake utahamia na hapo ndipo utanielewa kwamba KULIKO KUONJA ONJA CHIMBA KISIMA CHAKO MWENYEWE🤝

Leave Comments
Post a Comment