SAMATTA - "Kutokujua kingereza sio nashindwa kucheza professional"
“Kama bado kuna mchezaji wa mpira kinda anayetoka Tanzania anafikiri kutokana na kutokujua Kwake lugha ya kiingereza kutamfanya ashindwe kucheza professional basi aondoe huo wasiwasi kabisa,unaweza kujifunza kama nyongeza kurahisisha mawasiliano ila sio kigezo cha kufeli”-SAMATTA
NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment