Wednesday, 19 March

Ads Right Header

Buy template blogger

UHAKIKI TAARIFA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA WAANZA JIJINI DODOMA

UHAKIKI TAARIFA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA WAANZA JIJINI DODOMA
 KIKONGWE wa miaka 100, Yusufu Alfonso Mkomwa akikabidhiwa kadi yake ya kupigia kura baada ya kuifanyia  uhakiki wa taarifa zake kwenye daftari la awalai la wapigakura na kurekebisha taarifa zake katika  Kituo cha uhakiki kilichopo Kata ya Viwandani jijini Dodoma jana. Anaemkabidhi kadi hiyo ni Mwandishi Msaidizi Queen Pius. (Picha na NEC).
 KIKONGWE wa miaka 100, Yusufu Alfonso Mkomwa akiweka saini katika kadi yake ya kupigia kura baada ya kufanya uhakiki wa taarifa zake kwenye daftari la awali la mpigakura katika Kituo cha uhakiki kilichopo Kata ya Viwandani jijini Dodoma jana. Anaemsaidia ni Mwandishi Msaidizi Queen Pius na kushoto ni Mwendeshaji wa BVR, Hilda Mpangala. (Picha na NEC)
 Wakazi wa Kata ya Mnadani Halmashauri ya jiji la Dodoma wakihakiki wa taarifa zao kwenye daftari la awalai la wapigakura. (Picha na NEC)

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4