Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

VIGONGO VINNE VYA MOTO KWA YANGA HIVI HAPA

VIGONGO VINNE VYA MOTO KWA YANGA HIVI HAPA

YANGA iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael ina kazi tatu za kufanya ndani ya Juni, kwenye mechi za Ligi Kuu Bara.

Ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi 27, hizi hapa  ndani za Yanga:-

Juni 13, Mwadui v Yanga, Kambarage.

Juni 17, JKT Tanzania v Yanga, Jamhuri.

Juni 21,Yanga v Azam FC,Taifa.

Juni 24,Yanga v Namungo, Taifa

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4