Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

WANANCHI WA KIGOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPELEKEA UMEME WA BEI NAFUU

WANANCHI WA KIGOMA VIJIJINI WAISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPELEKEA UMEME WA BEI NAFUU
Na mwandshi wetu, Kigoma
SHIRIKA la umeme Tanesco kupitia idara ya masoko imeendesha kampeni ya kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Kigoma juu ya kuchangakia fursa ya kuwekewa umeme wa REA ambao mkandarasi bado anaendelea na kazi kwenye vijiji mbalimbali.

Elimu hiyo iliyoanza kutolewa kwenye mkoa huo wili hii  imewafikia wanakijiji wa  vijiji vya Kigoma  ambapo baadhi ya wananchi wameishukuru serikali kwa miradi hii ya kuunganishiwa umeme wa bei nafuu kwani inachangia maendeleo ya kiuchumi.

Vijiji ambavyo tayari vimeshapatiwa Elimu ni  Buhigwe  Katundu, Kajana, Kinazi, Chankere, Bubango, Kizega, Kishanga, Munze na Mnanila. Kuunganisha umeme ni shilingi elfu  27,000 tu.
Afisa huduma kwa wateja mkoa wa Kigoma Emmanuel matuba akizungumzia umuhimu wa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa ili kuwekewa mtandao wa umeme kwenye nyumba zao wakati wa utoaji Elimu juu ya miradi ya REA.

 Afisa masoko Makao Makuu, Bi. Neema Mbuja (kushoto) na Afisa huduma kwa wateja Emmanuel Matuba akitoa maelekezo ya umuhinu wa kuntumia umeme tayari UMETA
 Picha ya pamoja ya wataalamu na wafanyakazi wa TANESCO na wananchi wa Kigoam baada ya kutoa elimu ya umeme.
 Afisa huduma kwa wateja mkoa wa Kigoma Emmanuel matuba akizungumzia umuhimu wa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa ili kuwekewa mtandao wa umeme kwenye nyumba zao wakati wa utoaji Elimu juu ya miradi ya REA

  Wakazi wa Kigoma vijijini  wakipatiwa Elimu ya umeme
Afisa huduma kwa wateja mkoa wa Kigoma Emmanuel matuba akizungumzia umuhimu wa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa ili kuwekewa mtandao wa umeme kwenye nyumba zao wakati wa utoaji Elimu juu ya miradi ya REA

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4