YANGA WAIFUATA MWADUI FC
YANGA WAIFUATA MWADUI FC
KIKOSI cha Yanga kilicho chini ya Kocha Msaidizi, Charles Mkwassa kimeanza safari leo kwa ndinga kuelekea Shinyanga kuifuata Mwadui FC.
Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utapigwa Juni 13, Uwanja wa Kambarage.
Yanga ipo nafasi ya tatu kibindoni ina pointi 51 baada ya kucheza mechi 27.
Mwadui ipo nafasi ya 12 baada ya kucheza mechi 28 kibindoni ina pointi zake 34.

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment