YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC
YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa mchezo wa leo dhidi ya Azam FC watapambana kuibuka ña ushindi kwa kuwa mchezo uliopita walifungwa bao 1-0.
Akizungumza na Saleh Jembe, Eymael amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa leo.
"Kila kitu kipo sawa na tutakamilisha ushindi kwa kucheza mpira wa pasi na kutulia, mashabiki wajitokeze kwa wingi," amesema.
Yanga itamenyana na Azam FC, Uwanja wa Taifa saa 10:00 jioni.

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment