Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

ZANZIBAR KUMEKUCHA WAGOMBEA WAANZA KURUDISHA FOMU ZA URAIS

ZANZIBAR KUMEKUCHA WAGOMBEA WAANZA KURUDISHA FOMU ZA URAIS
(Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, Katibu wa Kamati Maalumu ya Idara ya Oganaizesheni ya CCM Zanzibar, Cassian Gallos Nyimbo, wakati aliporudisha fomu hiyo katika Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Unguja, jana. (leo).
 (Picha na Muhidin Sufiani)
 (Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kushoto) akisalimiana na Kada wa Chama cha Mapinduzi nje ya Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Unguja baada ya kurudisha fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, jana (leo). 

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4