AZAM FC WABABE MBELE YA TANZANIA PRISONS

AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Aristica Cioaba tangu msimu wa 2012/13 imekutana na Tanzania Prisons mara 15.
Azam FC imeshinda mechi saba na Tanzania Prisons mechi moja huku sare zikiwa saba.
Kwa upande wa mabao ya kufunga, Azam FC imetupia mabao 18 na Tanzania Prisons mabao saba.
Kipigo kikubwa zaidi kwa Prisons kupokea kutoka kwa Azam FC ilikuwa msimu wa 2017/18, Azam FC 4-1 Tanzania Prisons.

Previous article
Next article

Leave Comments
Post a Comment