Wednesday, 19 March

Ads Right Header

Buy template blogger

BALOZI KAMALA AJITOSA KUWANIA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA NKENGE MKOANI KAGERA

BALOZI KAMALA AJITOSA KUWANIA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA NKENGE MKOANI KAGERA
 Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika ofisi za CCM wilaya ya Missenyi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea ubunge katika jimbo la Nkenge,Mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
 Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala akionesha fomu yake ya kugombea Ubunge jimbo la Nkenge,mara baada ya kukabidhiwa katika ofisi za CCM wilaya ya Missenyi.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4