Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI MEJ.JEN. SULEIMAN MZEE AFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI NGAZI YA JUU YA JESHI LA MAGEREZA

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI MEJ.JEN. SULEIMAN MZEE AFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI NGAZI YA JUU YA JESHI LA MAGEREZA
Kamishna Jenerali Suleiman Mzee( wa pili toka kulia) akiangalia mradi wa choo cha kisasa kinachojengwa chuoni hapo. Wa pili toka kushoto ni Mkuu wa Chuo KPF, Kamishna Msaidizi wa Magereza Lazaro Nyanga
Mkuu wa Chuo cha KPF, Kamishna Msaidizi wa Magereza Lazaro Nyanga(kushoto) akimuonesha Kamishna Jenerali Suleiman Mzee moja ya miradi inayoendelezwa chuoni hapo.

Kamishna Jenerali Suleima Mzee akiongea na wanafunzi wa Kozi ya Uongozi Ngazi ya Juu( hawapo pichani), mara baada ya kuwasili katika Chuo cha KPF Morogoro
Baadhi ya wanafunzi wa Kozi ya Uongozi Ngazi ya Juu wakimsikiliza Kamishna Jenerali Suleiman Mzee (hayupo pichani)
Baadhi ya wakufunzi wa Kozi ya Uongozi Ngazi ya Juu wakimsikiliza Kamishna Jenerali Suleiman Mzee (hayupo pichani)

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4