KESHO NI BALAA ZITO VIWANJANI, CHEKI RATIBA ILIVYO
Julai 26,2020 hizi hapa mechi za mwisho mzunguko wa 38:-
Alliance FC v Namungo FC, Uwanja wa Nyamagana -Mwanza).
Mbao FC v Ndanda FC, Uwanja wa CCM Kirumba -Mwanza
KMC FC v Mbeya City, FC, Azam Complex -Dar es Salaam.
Singida United v Biashara United Uwanja wa Liti -Singida.
Mwadui FC v Kagera Sugar, Mwadui Complex -Shinyanga.
Polisi Tanzania v Simba SC Uwanja wa Ushirika -Moshi.
Coastal Union v JKT Tanzania, Uwanja wa Mkwakwani -Tanga
Mtibwa Sugar vs Ruvu Shooting, Gairo -Morogoro.
Tanzania Prisons v Azam FC, Uwanja wa Sokoine -Mbeya
Lipuli FC v Yanga FC, Uwanja wa Samora.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment